Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu
(Nyaumata Mkoani)

idara

IDARA

MAJUKUMU

utawala

Hii ni idara ambayo inashughulikia maswala ya hospitali ili kuhakikisha uendeshaji mzuri wa shughuli zote za kila siku,usalama, ustawi wa jamii, usafi wa mazingira,usafirishaji huduma za mkopo kwa wafanyakazi kutoka benki mbali mbali

pia inahusika na usimamizi wa kifedha, usimamizi wa rasilimali za Hospitali, usimamizi wa habari, uratibu wa mifumo mbali mbali ya Hospitali(TEHAMA)


Idara ya wagonjwa wa nje

 

 

Idara hii inashughulikia

Kliniki ya magonjwa mbalimbali kama kisukari,CTC,

Kifua kikuu / ukoma, Klianiki ya meno

Kliniki ya macho

 

Idara ya upasuaji

idara ya upasuaji Inashughulika na  upasuaji mkubwa na mdogo


pia inafanya upasuaji kwa wagonjwa wa dharura

Idara ya magonjwa ya ndani

Idara hii inashughulikia

Utoaji wa huduma bora za matibabu kwa kesi zisizo za upasuaji.

Inayo Wodi ya matibabu ya Kiume na Wodi ya matibabu ya Kike


Idara ya watoto

Idara hii Hutoa na kuhakikisha afya bora kwa  watoto kwa kuwapa huduma maalum za matibabu


Idara ya Magonjwa ya Dharula

Idara hii inashughulika na  usimamizi wa magonjwa  yote ya dharura pamoja na wagonjwa wa Rufaa


Idara magonjwa ya uzazi

Idara hii huboresha afya ya mama na watoto wachanga kwa kutoa huduma bora