Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu
(Simiyurrh)

Wagonjwa wa Nje

Posted on: April 19th, 2024

Huduma zinazotolewa hapa zinajumuisha

  • Ushauri wa jumla
  • Elimu ya afya na ushauri nasaha
  • Kliniki za afya mbalimbali
  • Uchunguzi wa kimatibabu
  • Chanjo (Chanjo homa ya ini, kichaa cha mbwa & Pepopunda)
  • Huduma za utambuzi kwa ushirikiano na idara zingine